IQNA – Msomi wa Kiislamu kutoka Iran amesema Qur’ani Tukufu ina mfundisho yenye thamani kubwa na yenye faida kwa utawala katika jamii.
Habari ID: 3480321 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/07
Sura za Qur’ani Tukufu /27
TEHRAN (IQNA) – Nabii Sulaiman (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) alikuwa Mtume pekee wa Mwenyezi Mungu ambaye pia alikuwa mfalme na alikuwa na elimu na mali nyingi. Pia alikuwa na uwezo wa kuzungumza na wanyama na alikuwa na jeshi kubwa la watu na majini ambalo lilimpa nguvu zisizo za kawaida.
Habari ID: 3475684 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/26